KUZITATUA.
Katika upande huu wa kujadili kero au changamoto mbalimbali zinazo wakabili , vijana walitoa kero mbalimbali kama ifuatavyo
1 Kukosa masoko ya bidhaa wanazozalisha
2 Kukosa mikopo
3 Dhamana na riba kubwa kwenye taasisi za fedha
4 Ukosefu wa elimu ya ujarisiliamali
5 Urasimu wa kupata maeneo ya kuendesha biashara zao
6 Ukosefu wa ajira.
7 Dawa za kulevya
Mjadala uliendeshwa kwa kuwapa washiriki nafasi za kujadili kila kero kwa kina na kujaribu kuto mapendekezo ya nini kifanyike ili kupunguza changamoto hizo kama kikwazo cha kutoendelea kujikwamua kimaisha.
Kukosa masoko
Vijana wengi ambao wanaojishuhulisha na uzalishaji bidhaa wamelalamika kukosa masoko ya bidhaa zao, washiriki ambao wanajihusisha na shughuli za utengenezaji wa mifuko ya tinga tinga waliomba serekali iweke tarabu nzuri zinazowawezesha kupata masoko ndani na nje ya nchi na kutoza ushuru mkubwa kwa bidha ziingizwazo nchini ili kulinda soko la ndani na kupunguza ushindani kwenye soko la ndani.
Kutokana na vijana wengi kutoaminika , taasiza za fedha pia husita kutoa mikopo mikubwa kwa vijana wakopaji kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo, uwezo mdogo wa kuaandaa michanganuo ya biashara, mmda wa kufanya marejesho kuwa mdogo kabla ya kupata faida, pia na riba kuwa kubwa kwenye taasisa za kuweka na kukopa fedha, SACCOS.
Ukosefu wa elimu ya ujarisiliamali
Vijana wengi ambao hawapo kwenye mfumo usio rasmi walipendekeza kupatiwa elimu ya ujasiriamali ili waweze kuendesha biashara zao kwa ufasaha na kuweza kuandika michanganuo wakati wa kuomba mikopo, kulipa kodi, na kujua umuhimu wa kurejesha marejesho kwa wakati.
1.kukosa fursa ya kotoa kero zetu
2.kutopewa vipaumbele vya nafasi za kufanyia biashara
3.masharti magumu ya kupata mikopo
4.umilikishwaji mbovu wa ardhi
5.kukosa elimu ya ujasiriamali
MAPENDEKEZO
1.ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika ngazi mbalimbali za maamuzi 2.serikali kutenga maeneo ya biashara kwa ajili ya vijana
3.serikali itoe mikopo yenye masharti nafuu na kuwe na vyanzo mbadala vya mikopo.
Vijana kupewa nafasi za kuunda vikundi.
4.serikali itambue umuhimu wavijana kumiliki ardhi katika kila wilaya
kuwepo na na mgawanyo wa maeneo ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima ili kuepusha migororo ya ardhi.
5.vijana kupewa mikopo ya matrekta kwa kupitia jukwaa la vijana
6.kupatiwa elimu ya ujasiriamali na vyuo vya ufundi
1.Ukosefu wa ajira kwa vijana
6.kunyanyaswa kwa wajasiriamali wadogowadogo
2.kuanzisha vikundi vya vijana na kushirikiana na serikali za mitaa ili kupata mikopo katika ngazi husika
3.kushiriki na kushirikishwa katika ngazi mbalimbali za maamuzi
4.Elimu ya uzalishaji mali uwafikie vijana moja kwa moja
1.Ukosefu wa maji
2.Ukosefu wa ajira kwa vijana3.Huduma duni za afya
4.Ukosefu wa viwanja vya michezo bora.vifaa na waalimu
5.Miundo mbinu duni ya bara bara
6.ukosefu wa elimu bora
2.Kuongezwe nafasi za ajira na kuendeleza ubunifu kwa ajili ya kujiajiri
3.Vijengwe vituo vya afya na vilivyopo viboreshwe
4.Yatengwe maeneo maalumu kwa ajili ya michezo, viletwe vifaa vya michezo na walimu wamichezo
5.Wawekezaji wakalibishwe na kupewa masharti nafuu ili wawekeze ndani ya wilaya ya kisarawe
6.Vijana wawezeshwe na kupatiwa pembejeo za kilimo
1.Vijana wa kike hawapati fursa ya kurudi shule baada ya kujifungua
2.fursa za kujiajiri ama kuajirika ziko finyu
3ukosefu wa stadi za masoko ambayo inapelekewa vijana kushindwa kutabiri mwelekeo wa masoko.
4ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika ngazi mbalimbali za maamuzi ni mdogo
5.huduma zilizonyingi ambazo zimekuwa hazina ukaribu na vijana katika kutoa ushauri kwa vijana juu ya afya
6.upatikanaji wa habari kati ya serikali na vijana
7.ukosefu wa maeneo ya wazi yaliyotengwa kwa ajili ya michezo na burudani
8.Mmomonyoko wa madili, utamaduni kwa vijana ukilinganisha na historia ya wakazi wa njombe kutokana na mapokeo hasi ya utamaduni.
9.Vijana kukosa elimu ya jinsi ya kutumia mikopo, elimu ya biashara ujasilrimali na mashariti magumu ya mikopo.
10.Vijana wameachwa pembezoni katika ugawaji wa pembejeo za kilimo.
11Ukosefu wa taarifa juu ya elimu ya vvu na ukimwi, elimu ya uzazi na stadi za maisha, elimu juu ya vvu na ukimwi itolewe kwa vijana maana hakuna wanaotoa elimu hiyo.
12.Upatikanaji/mgawanyo wa aridh kwa matumizi ya kilimo ni changamoto kwa kijana.
MAPENDEKEZO
1.Kutambua fursa zilizopo ,/ kupata elimu
2.Serikali na mashirika binafsi yaangalie tatizo hili na kuju ni jinsi gani wanaweza kusaidia vijana
3.Serikali iboreshe miundo mbinu ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa kutoka mashambani hadi kwenye masoko
4.kijana awe tayari kushiriki katika kutoa muuongozo na mawazo
5.Elimu itolewe kwa wafanya kazi juu ya kuhudumia vijana
6.Vijana washiriki katika vikao na mikutano ya vijiji
7.Serikali iruhusu maeneo yaliyo wazi na yasio na kazi yatumiwe kwa vijana
8.Elimu ya ukimwi iongezwe kwa vijana ( washa , mihadhara, midahalo ya kujadili juu ya ukimwi)
9Vijana kupata elimu ya ujasiriamali katika ngazi zote ili kupata ajira
10.vijana wapewe vipaumbele katika kupata misaada hiyo ( serikali kuu na Halmashauri)
11.Elimu ya ukimwi iongezwe kwa vijana ( washa , mihadhara, midahalo ya kujadili juu ya ukimwi)
12.Serikali iruhusu maeneo yaliyo wazi na yasio na kazi yatumiwe kwa vijana


