KERO:
- Ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika vikao vya serikali za mitaa.
- Vijana kukosa elimu ya ujasiriamali.
- Kutokuaminiwa kwa vijana katika kupewa mikopo.
- Vijana kukosa mazingira mazuri ya kufanyia na kuanzisha shughuli za kibiashara.
- Elimu ya ujuzi na ufundi ianze toka shule ya msingi.
- Vijana kupewa kipaumbele katika vyombo vya maamuzi kuanzia ngazi ya chini.
- Vijana kupatiwa mwakilishi katika baraza la wawakilishi.
- Vijana kupatiwa fursa mbalimbali za kijamii.
No comments:
Post a Comment