Tokea mwaka jana mnamo mwezi wa kumi Tanzania Youth Coalition ilipoingia katika mpango wa kuanzisha majukwaa ya vijana Tanzania kasi ya ueneaji wa majukwaa hayo imeongezeka maradufu. Kwani katika kipindi cha takribani miezi mitano jukwaa limeweza kufika katika mikoa minne katika zaidi ya wilaya nane. Na safari hii Jukwaa lipo katika mikoa ya Lindi na mtwara ambapo ratiba yake itakuwa kama ifuatavyo;
Tarehe -Wilaya
23-24/3 -Lindi
25-26/3- Ruangwa
27 na 30/3- Masasi
1-2/4- Mtwara Mjini.
Hii ndiyo ratiba ya majukwaa yanayokuja kwako hivi karibuni jianda sasa kwa yatakayo jiri katika majukwaa hivi karibuni.
"Kwa pamoja yote tutayashinda sisi kama vijana"
No comments:
Post a Comment